.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

FOREVER LIVING BUSINESS OWNERS WAMTEMBELEA MTOTO JOHARI BUGANDO

.

Kiongozi wa msafara huo Bi Aysher Kilahama  akiwa na Bidhaa za Forever living -Aloe vera GEL Tayari kwa Kukabidhi Msaada wa dawa kwa binti Johari Hospitalini hapo.


Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara za Forever Living Mwanza wakiwa nje ya Hospitali ya Bugando leo asubuhi.

Forever Business Owners ambao wana kawaida ya kurudisha kwa jamii (FOREVER GIVING)  zoezi ambalo liliendelea kufanyika leo katika hospitali ya Bugando kwa binti Johari 17yrs, mwanafunzi wa kidato cha pili huko Kigoma ambaye ALIKUNYWA CAUSTIC SODA akijua ni MAJI.
February mwaka huu Johari alipofika nyumbani akitokea shule alikuwa na kiu sana ndipo alipochota MAJI KWENYE DIABA NA KUNYWA akijua ni maji, kumbe ilikuwa ni CAUSTIC SODA ambayo mama yake aliweka kwa ajili ya kutengeneza sabuni..Mara baada ya daktari wa binti huyo kushauri apewe ALOE VERA GEL na kutokana na kushindwa kumudu ukubwa wa gharama, mamdogo wa Johari Aliomba msaada msaada wa Aloevera Gel, ndipo Forever Business Owners walipokwenda kumuona na kila mmoja kumpelekea ALOE VERA GEL.




Viongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara za Mtandao wa Forever Living wakiwa katika picha ya Pamoja na Johari , Wodini, Hospitalini Bugando.

Uongozi wa Forever Busines owner unapenda kuwapongeza FBO's TEAM MWANZA WOTE waliiofanikisha zoezi hili, na FBO FAMILY ambao walishindwa kufika lakini wakatuma wawakilishi. MUNGU AWABARIKI NA KUWAONGEZEA PALE MLIPOTOA.
"FOREVER GIVING, SHARING IS CARING"

No comments: