
Hili ni Tangazo la Biashara linalotangaza dawa ya tube maalum inayoondoa Chunusi usoni, Hapo Jamaa anaonekana akiwa kajifunika uso kwa kuona aibu ya kuwa na Chunusi

Tangazo la Biashara ya Rangi lililotengenezwa Kibunifu zaidi

Hii nyingine kali ni Basi linalotangaza 'Zoo' Maalum ya Kutunzia wanyama wa kivutio.

Kwa wale wenye Nywele nyingi Puani, Hili ni tangazo la Kibunifu linalowahusu, Aina maalum ya Kikatio kilicho salama kwa kazi hiyo.

Hii ya Road Tunnel ndio iliyo kali kuliko zote, Tangazo la Mgahawa wa Vyakula aina zote na Mapumziko lililotengenezwa kinamna ya pekee.
Sasa home work Niirudishe kwa Wabunifu wetu wa Matangazo, kufikiria nje ya Box na kupanua wigo wa Ubunifu katika kazi yao.
No comments:
Post a Comment