Rais Kikwete akimpongeza Dk. Magufuli kwa Kushinda kinyang'anyiro cha Urais wa Tanzania Bara.
Mama Salma Kikwete Akimpa Dk. Magufuli Mkono wa Pongezi mara baada ya kutoka kutangazwa Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Urais wa Kuongoza jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano 2015- 2020
Dk. Magufuli akipokea simu za Pongezi Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment