RAIS MAGUFULI, AMEWAAPISHA MAWAZIRI 5 NA NAIBU WAZIRI 1 IKULU ALIOWATEUA KUKAMILISHA BARAZA LAKE LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu Wa Kiongozi walioketi katika picha ya Pamoja na Mawaziri walio simama baada ya kuwapisha Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 28,2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Makame Mbarawa baada ya kumhamisha kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda kuwa Waziri katika Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Mpango – kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment