.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

26 August, 2015

Magufuli aendeleza kampeni Mikoani….

.
.
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara zake huko Mikoani ikiwemo, Tunduma, Sumbawanga, Rukwa.
.
Mhe. Magufuli katika Kampeni za Uchaguzi 2015 mkoani Sumbawanga.
.
.Mhe John Pombe Magufuli akihotubia Wananchi wa Tunduma, asema atashulikia matatizo yao.

No comments: