Kila sehemu ambako mgombea urais wa CCM anakwenda, suala hilo limekuwa likiibuliwa, huku Lowassa akisema yeye hakuhusika, bali alijiuzulu kuiokoa Serikali isianguke kwa kuwa ulikuwa uamuzi wa wakubwa.
Wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika juzi, Rais Jakaya Kikwete aliesema anashangazwa na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani na kumtaka Lissu amtaje:
“Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,”
Video hapa chini ina kauli iliyotolewa na Lissu siku moja tu baada ya Rais Kikwete kuzungumza...
No comments:
Post a Comment