
MAJOKELI: Baadhi ya Vijana wanaounda kundi la Majoker Crew la Msasani Wilaya ya Kinondoni, wakikongo nyoyo za mashabiki wakati wa nusufainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.

MAKOLOKOCHO; Wasanii wa Kundi la Makolokocho jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.

CUTE BABYS: .Wasichana wanaounda kundi la cute Babies kutoka Keko wilaya ya Ilala wakionyesha mbwembwe zao wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

Vijana wanaounda kundi la The Winner Crews kutoka Kiwarani jijini Dar es Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye onyesho la Nusufainali ya shindano la Dance 100% 2015, wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.
No comments:
Post a Comment