TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 07.11.2015.
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WANNE WA NCHINI CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU.
GARI AINA YA TOYOTA HILUX LILILOKUWA LIKITUMIWA NA WACHINA HAO AMBALO LIMETENGENEZEWA BOX MAALUM LA SIRI KUHIFADHIA VITU .
No comments:
Post a Comment