| Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Emanuel Kavishe, wakizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani. |
No comments:
Post a Comment