.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

18 December, 2015

SHERIA MPYA: Faini ya mpaka dola 300 madereva ambao hawajaoga na kutoa harufu mbaya. nchini KENYA


Sheria mpya imependekezwa nchini Kenya ambayo itawaadhibu madereva wa taxi wanaonuka kutokana na kutooga na kuwa wachafu. Chini ya mapendekezo hayo, mamlaka zitaweza kuwapiga faini ya mpaka dola 300 madereva ambao hawajaoga na kutoa harufu mbaya...Itakuwaje sheria hii Ikija Tanzania na kuwahusu Madereva Taxi, Daladala na Bodaboda?

No comments: