.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

18 March, 2016

TAMKO LA CUF KUJIONDOA KWA WABUNGE WAKE KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA



Ndugu zangu, salaam za heri nyingi kutoka Unguja,
Tafadhali pokeeni tamko la pamoja la uamuzi wa CUF pamoja na wabunge wake nchi nzima tulilolitowa leo Machi 18, 2016 baada ya kikao chetu hapa mjini Zanzibar. Inshallah tusaidiane kuujulisha umma juu ya hili na dhulma nyingine ambazo mwaziona zikiendelea.

Wasalaam,

Ahmed Nassor Mazrui
Naibu Katibu Mkuu (CUF), Zanzibar

"HAKI SAWA KWA WOTE"

No comments: