.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

13 March, 2016

Vicent Mashinji ndiye Katibu Mkuu Chadema, anayerithi mikoba ya Dk. Slaa

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji

 Tayari Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtangaza Katibu Mkuu wao mpya ambaye atakitumikia chama hicho kikuu na kikubwa cha upinzani nchini, Katibu huyo si mwingine ni Dkt. Vicent Mashinje  ambaye anashika mikoba ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo awali kabla ya kuachia ngazi, Dk. Wilbroad Slaa.

SOMA ZAIDI KUHUSU WASIFU (CV) YAKE.

No comments: