
Papa Francis akitoa Baraka ya Krismasi kwa waumini waliohaudhuria Ibada ya Misa hiyo leo asubuhi katika kanisa la St. peter's Basillica mjini Vatican

Askari mmoja wa Jeshi la marekani Akiwa amevalia Vazi kama 'Father Christmas' akisalimiana na askari wenzake wa moja ya kikosi kilichopo mjini Bgram Kaskazini mwa kabul, Afghanistan

Baadhi ya watu wenye Furaha ya kuiona na kushereherekea Xmas wakikimbilia majini kuogelea kama njia ya kuonyesha furaha yao katika ufukwe wa Exmouth beach, Devon-Uingereza Mapema Asubuhi.

Baadhi ya Watu wa Korea kusini wakiwa wamevalia mavazi kama Santa Claus wakisheherekea siku hii mjini Seoul.

Mtoto Mwenye Furaha akicheza na Mipira ya Plastic kuonyesha furaha yake katika pati maalum Dharka mjini Bangladesh

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Regina Mundi, Soweto-Afrika Kusini wakiwa katika Misa ya Ibada ya Xmas mapema leo Asubuhi.
No comments:
Post a Comment