.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

YALIYOJIRI ZARI ALL WHITE PARTY CLUB GUVNOR KAMPALA

12354028_634235383383477_2132529986_n
Mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa katika gari kuelekea katika usiku shoo yake ya  All White Ciroc Party iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala.
ZARI345
Zari akipanda gari.
ZARI734
ZARI834
Zari akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki zake.
ZARI0923
Wakiendelea kujiachia.
ZARI234
Wakiwa katika ubora wao

No comments: