![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnT1WlyZUrT5qdgZWy43qt-Gss4gbhlWpQbdJrCDtc91fBHNkIKayizqn-K4sOf7qvMs5D4orzUDoiWxKVVIJjdwBRvO8-pm4vu92xorKo086wyqD82dtj_jAfT0zMl28Ywf2m4BRf4UY/s640/AFYA+-2.jpg)
Katika Jiji la dar es Salaam, Kuongezeka kwa majeruhi wa ajali za bodaboda kumeifanya Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), kuzidiwa na wagonjwa hadi kulazimika kuwalaza wengine sakafuni ambapo asilimia 53 ya majeruhi wote wanaopokewa na taasisi hiyo ni wa ajali ya pikipiki.
No comments:
Post a Comment