.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

29 August, 2015

PICHA ZA UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA JANGWANI

#TzwakaBlog ilikuwa Jangwani kwenye eneo la tukio rasmi kwa ajili ya kukujuza Kilichokuwa  kikiendelea kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwakilisha Umoja wa vyama vya upinzani vinavyounga mkono Katiba ya Wananchi (UKAWA)kilipopuliza rasmi kipenga chake.

Nimekukusanyia Mapicha yote hapa kwa ajili yako.

Staa wa Bongo Movie Shemsa Ford, Aunt Ezekiel pamoja na Jackline Wolper wakiingia katika Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya mkutano.


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments: