.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

31 August, 2015

Mtandao wa Radio za Jamii-'CRN' waanza Kazi Rasmi.

Baadhi ya Wawakilishi wa Mtandao wa Radio Mbalimbali za Kijamii (CRN) pamoja na Wadau wengine wanaotengeneza vipindi vya nje wakiwa kwenye picha ya pamoja na Sekretarieti ya Mtandao huo (Kutoka chini:  Mwenye Fulana Nyekundu Wa pili kushoto ni Mshauri wa Masuala ya RADIO-FEMINA HIP, na Mtayarishaji wa BLOG hii - Mohammed Mvumbagu
Mtandao wa Radio za Kijamii Unaofanya kazi kwa Kushirikisha Radio Kumi kutoka nyanda za Juu kusini na kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ya Jamii umeanza Rasmi kufanya kazi Ukiratibiwa na Kampuni ya Hypermedia Limited kwa hisani ya Best Dialogue.

Moja ya Kazi zitakazofanywa kwa Ushirikiano wa Mtandao Huo ni pamoja na Kurusha na Kubadilishana Vipindi vya Kijamii ili kuongeza ufikivu na Usikivu wa vipindi hivyo kuwafikia wasikilizaji wengi zaidi.

No comments: