NIMEKUKUSANYIA PICHA KUMI ZA WAANGALIZI WA UCHAGUZI WA KIMATAIFA KUTOKA UMOJA WA ULAYA WAKIWA KAZINI TAYARI KWA ZOEZI RASMI KESHO.
Waangalizi hawa 60 wa Kimataifa wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) walisambaza katika maeneo mbalimbali nchini Tangu Tarehe 20,Oktoba kuanza kufuatilia Mchakato na Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu nchini. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment