Ndugu zangu,
Habari hii kubwa ya mwaka 1995 nimeihifadhi kwenye maktaba yangu. Tuliokuwepo, na hata mwenye kujihangaisha kusoma ya zamani, ataujua ukweli, kuwa Augustine Mrema alijitoa CCM baada ya CCM ya Mzee Mwinyi, kuanzisha, mwaka 1994, utaratibu kuwa mgombea wao urais sharti awe walau na digrii moja. Kilichofuatia ni historia.
Na siku zote, historia ni mwalimu mzuri
Na siku zote, historia ni mwalimu mzuri
No comments:
Post a Comment