Wizara ya Maliasili na Utalii nchini imeanza rasmi kuendeleza utaratibu wa kujitangaza na
Kutangaza soko la vivutio vyake vya kitalii sehemu mbalimbali kimataifa ambapo hivi sasa wapo katika Ukumbi maalum wa World Travel Market nje kidogo ya jiji la London nchini Uingereza wakitumia kauli mbiu ya kuiita Tanzania kama Roho ya Afrika 'TANZANIA The Soul of Africa"
Wadau mbalimbali wa Sekta ya Mali asili na utalii nchini wakiwa katika picha ya Pamoja.
Kazi ya Kutangaza Utalii nchini ikiendelea kwa kukaribisha maswali na majibu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotembelea Sehemu maalum ya Tanzania ili kupata Taarifa zaidi.
Mkurugenzi wa Utalii na Masoko kutoka hifadhi ya Taifa Bw. Ibrahim A. Mussa akiwa na watumishi wengine kutoka maliasili na Utalii wakiwakilisha Kuitangaza Tanzania katika soko la Utalii kimataifa

No comments:
Post a Comment