.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

22 December, 2015

DIWANI ASHINDWA KUSOMA KIAPO ALICHOANDIKIWA WAKATI WA KUAPISHWA

Video Hii Imekuwa gumzo Mitandaoni Ikimuonyesha Diwani anayekula kiapo akishindwa kusoma hati ya Kiapo hicho kutokana na Kusitasita na Kuwaacha wageni waliohudhuria Hafla hiyo kuangua vicheko huku wakijiuliza Maswali kadhaa likiwemo la Je, Diwani huyu hajui Kusoma vizuri na Kuandika?...ama ni Kitete na Ugeni wa Zoezi?

Mcheki Diwani huyo kupitia Video hapa Chini.

No comments: