Msanii Abednego Damian aka Belle9 ameachia video mpya inayoitwa ‘Burger Movie Selfie’. Wimbo huo aliutambulisha jumatatu ya tarehe 7 Disemba.
Video imeongozwa na GQ kutoka Morogoro, imeshutiwa Morogoro pamoja na producer wa wimbo huo pia Tidy Hitter kutoka Morogoro.
Tazama hapa;
No comments:
Post a Comment