RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA XMAS NA KUWASIHI WATANZANIA KUSHEHEREKEA KWA AMANI
Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli akihudhuria Ibada ya Krismasi katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es Salaam leo. Amewahimiza raia washerehekee sikukuu za Maulid, Krismasi na Mwaka Mpya kwa amani na utulivu.Picha/Ikulu ya Tanzania
No comments:
Post a Comment