Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni zao.
Ufunguzi wa kampeni hizo utakaofanyika Agosti 30 katika viwanja vya Zakheem, Mbagala ambapo watamtambulisha Mgombea wao wa Urais.
ZITTO KABWE- ‘Sasa hivi tunaendelea na mafunzo ya wagombea Ubunge kupitia chama chetu ili waweze kufanana’#ACT2015
No comments:
Post a Comment