Wasanii wakongwe wa Kundi la muziki la SautiSol kutoka kenya, kupitia Kurasa yao ya Facebook wamewatonya mashabiki wa Muziki kuwa hivi sasa wako jikoni na Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ally Kiba katika Kuandaa kazi ya Pamoja inayotarajia kutoka hivi karibuni...kama wewe ni Shabiki wa Bongo Fleva na Ally Kiba Sikilizia hii..
Wasanii wa Kundi la Sautisol wakiwa kwenye Pozi
No comments:
Post a Comment