Mwenyekiti wa stand united Amani Vicent (kushoto) akibadilishana mkataba wa udhamini wa timu hiyo na Makamu wa rais wa ACACIA anaeshugulikia masuala ya Kampuni, Deo Mwanyika mara baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka miwili na kampuni hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa Stend United wakionyesha jezi watakazotumia msimu huu wa ligi kuu ya Vodacom mara baada ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali na wadhamini wao kampuni ya ACACIA.
Baadhi ya wachezaji wa Stend United wakiwa na baadhi ya maafisa kutoka Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unaomilikiwa na kampuni ya Acacia ambao ni wadhamini wa timu hiyo muda mfupi mara baada ya kuzindua rasmi jezi za timu hiyo zitakazotumika katika msimu wa ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza tarehe 12.09.2015
No comments:
Post a Comment