Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, Septemba 6, 2015.
Bofya hapa kwa PICHA NA HABARI KAMILI
No comments:
Post a Comment