Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameibuka na kusema atafafanua kila kitu kwa umma kuhusu madai yaliyotolewa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, dhidi yake wakati atakapozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaa kesho.
Amesema moja ya ufafanuzi atakaotoa ni kuhusiana na kubatizwa jina la mshenga na Dk. Slaa wiki iliyopita. Bofya KUSOMA HABARI KAMILI
No comments:
Post a Comment