Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Majohe kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar esSalaam, leo.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
Wema Sepetu (kushoto) akiwa na wasanii wenzake ambao wamo katika kampeni ya MAMA ONGEA YA MWANAO AMPE KURA DK. MAGUFULI,
Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia,uliofanyika katika jimbo hilo leo.
No comments:
Post a Comment