KIFAHAMU KITUO CHA KUPIGIA KURA KILICHOTENGWA CHINI YA MTI MKUBWA HUKO MTWARA
Kituo Kidogo cha kupigia Kura kilichotengwa chini ya Mti mkubwa katika Kata ya Naumbu - Mtwara, Hakika hii ni hatua ya Kusogeza Fursa karibu kabisa na Kura...Japo pia tuombe sana mvua isije ikaharibu utaratibu wa zoezi zimaaaa!
No comments:
Post a Comment