.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

24 October, 2015

TABOA WASITISHA HUDUMA ZOTE ZA USAFIRI WAMABASI ILI MADEREVA WATIMIZE HAKI YAO YA KUPIGA KURA

Akizungumza na wanahabari mapema hii leo, muweka azima wa chama hicho bw. Issa Nkya amesema kwamba wanatambua kuwa wafanyakazi wao nao wanatakiwa kuungana na wananchi wengine katika kupiga kura.
Sisi kama TABOA tumejipanga kuwapa ruksa wafanya kazi wetu ili kila mtu akapige kura kwakuwa ni jambo la msingi kwa kumchagua mtu atayemtaka.:- Issa
Naye mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji mkoani Kilimanjaro na Arusha Bw. Mohamed Alfa amewataka madereva kuhakikisha kuwa wanaongeza umakini katika kupiga kura ili kuepusha uwezekano wa kutokea kwa vurugu.
 “kwanza kabisa tunawahasa wafanyakazi wetu kuepukana na ushabiki, dereva awe ni mtulivu na kuwa sehemu ya kuleta amani na ikitokea mabishano awaelimishe kwamba kila mtu kuwa na chama siyo uadui

No comments: