CHRISTIAN BELLA KUIBUKA NA 'NYUMBA YAKE YA VIPAJI KWA VIJANA WENYE UWEZO'
Msanii wa muziki Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ya ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
HABARI KAMILI >>>
No comments:
Post a Comment