Mtoto wa Miaka Mitatu (3) Mwenye kipaji kikubwa na cha kipekee cha U Dj, Aliibukia katika mashindano ya Kutafuta Vipaji South Africa Got Talents 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov 8 Johannesburg Afika Kusini.
Sasa anamiliki studio yake ndogo na amekuwa Staa kwa kushika headlines mbalimbali licha ya kula Shavu la ziara na dili za Kufanya U DJ kwenye Radio Kibao kama 5 FM, Y FM, Metro Fm n.k
1 comment:
Hongera sana
Post a Comment