.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

15 December, 2015

MFAHAMU 'DJ ARCH JNR' MTOTO WA MIAKA 3 MWENYE KIPAJI KIKUBWA CHA U DJ


Mtoto wa Miaka Mitatu (3) Mwenye kipaji kikubwa na cha kipekee cha U Dj, Aliibukia katika mashindano ya Kutafuta Vipaji South Africa Got Talents 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov 8 Johannesburg Afika Kusini.
Sasa anamiliki studio yake ndogo na amekuwa Staa kwa kushika headlines mbalimbali licha ya kula Shavu la ziara na dili za Kufanya U DJ kwenye Radio Kibao kama 5 FM, Y FM, Metro Fm n.k  


1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana