.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

19 December, 2015

WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA FOREVER LIVING MWANZA WATEMBELEA HOSPITALI YA BUGANDO KUMUONA BINTI JOHARI KUTOA MSAADA WA DAWA.



Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara za Forever Living Mwanza wakiwa nje ya Hospitali ya Bugando leo asubuhi.

Forever Business Owners ambao wana kawaida ya kurudisha kwa jamii (FOREVER GIVING)  zoezi ambalo liliendelea kufanyika leo katika hospitali ya Bugando kwa binti Johari 17yrs, mwanafunzi wa kidato cha pili huko Kigoma ambaye ALIKUNYWA CAUSTIC SODA akijua ni MAJI.
February mwaka huu Johari alipofika nyumbani akitokea shule alikuwa na kiu sana ndipo alipochota MAJI KWENYE DIABA NA KUNYWA akijua ni maji, kumbe ilikuwa ni CAUSTIC SODA ambayo mama yake aliweka kwa ajili ya kutengeneza sabuni..

HABARI KAMILI >>>

No comments: