Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama
cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili katika Mkutano wa
Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia,
Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-
Zanzibar, Salum Mwalim, wakati akiwasili katika Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni
za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia,
Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwapungia wananchi wa Zanzibar
(hawapo pichani) walioshiriki Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF -
Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana
Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea Mwenza wake,
Mh. Juma Duni Haji, katika hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF
- Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana
Septemba 9, 2015
No comments:
Post a Comment