.

.
TZ WAKA BLOG TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016, MWAKA HUU UWE WA BARAKA NA MAFANIKIO KWAKO | KUTANGAZA NA BLOG HII WASILIANA NASI KUPITIA 0716 979 939 AU BARUA PEPE tzwakablog@gmail.com

16 September, 2015

WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA


Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi  ya  Nyarugusu  iliyoko  Kasulu  mkoani  Kigoma.   Idadi  ya  wakimbizi  kutoka  Burundi  imekuwa  ikiongezeka  siku  hadi  siku  na  Wizara  ya  Mambo  ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.


Mkimbizi kutoka Burundi, Vanisi Nyandugulu akipanga vifaa vyake baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma jana.  Wakimbizi kutoka Burundi wanaendela kuwasili nchini ambapo wanahifadhiwa katika kambi ya wakimizi ya Nyarugusu.

No comments: