Meli mpya ya mv.mapinduzi ( ii) imewasili bandarini Zanzibar kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika ujenzi wake huko Korea ya kusini.
Hafla ya kuwasili kwa meli hiyo imeongozwa na waziri wa fedha Omar Yussuf Mzee ambapo amesema ujenzi wa meli hiyo ni agizo la raisi wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk. Ali mohamed shein.
No comments:
Post a Comment