Wiki hii ya mwisho wa mwezi wa nane umekuwa ni mwezi ambao umekuwa na matukio mengi, hasa huko beijing ambako Kenya ilivunja rekodi ya kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuwahi kuwa mshindi wa mashindano ya riadha ya dunia.
Mwanariadha wa Ethiopia Genzebe Dibaba baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 10,000 kwa kina dada
No comments:
Post a Comment