Polisi Nchini wakiwa katika mafunzo Maalum ya kupambana na ugaidi.
Jeshi la Polisi nchini linasema wamewakamata washukiwa 38 wa ugaidi ambao wanauhusiano na kundi la kigaidi lililofanya mashambulio katika vituo kadhaa vya polisi nchini hapa.
Washukiwa hao walikamatwa wakiwa na bunduki kumi na risasi 387, mabomu ya kurushwa kwa mkono maarufu kama grunedi na vifaa vya kutengenezea mabomu.
No comments:
Post a Comment