Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu ameandika:
Nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..! Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda…kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani kuelekea kwenye uchaguzi wetu Mkuu…!
No comments:
Post a Comment