01 September, 2015
Rangi Zinazotumika Majumbani zabainika kuwa Sumu.
Zaidi ya nusu ya rangi za mafuta za kupamba majumbani zilizofanyiwa utafiti, zina viwango vikubwa vya madini ya risasi ambayo ni sumu hatari kwa watoto.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa utafiti uliyofanywa na asasi isiyo ya kiserikali ya Agenda, Mwenyekiti wa asasi hiyo Prof. Jamidu Katima amesema madhara yatokanayo na madini ya risasi kwenye ubongo wa watoto wadogo ni ya kudumu, hayarekebishiki na hayatibiki.
Labels:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment