Takribani siku mbili zilizopita zilienea taarifa juu ya katazo rasmi la mavazi ya nguo fupi ambalo ilisemekana limetolewa na wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. waziri mwenye dhamana ya Wizara hiyo, Mh Nape Nnauyeamekanusha juu ya taarifa hiyo.
BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
No comments:
Post a Comment